Tarehe 3/12/2012 Watu wenye ulemavu kote duniani huadhimisha sikuu yao kimataifa, kwa Tanzania maadhimisho haya yamefanyika mkoani Mara katika manispaa ya Musoma viwanja vya Karume. Mgeni rasmi wa maadimisho hayo alikua Mhe: Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania (Mizengo Pinda) aliye wakilishwa na Mkuu wa mkoa wa Mara Ndugu: John Gabriel Tupa. Kauli mbiu ya mwaka huu ni: ONDOSHA VIKWAZO ILI KUJENGA JAMII JUMUISHI NA UFIKIKAJI KWA WOTE.
Kindly Bookmark this Post using your favorite Bookmarking service:
Related Posts:
YOUR ADSENSE CODE GOES HERE
1 comments:
Anonymous
said...
ASANTE SANA KWA KUANDAA SIKU HII. NATUMAINI KUWA HATA MWAKA 2013 KUTAKUWEPO NA SHUGHURI NYINGI KATIKA KUADHIMISHA SIKU YA WATU WENYE ULEMAVU DUNIANI.
This blog is administered by Information Centre on Disability (ICD), Dar es Salaam.
ICD was established by disabled professionals with the goal of researching, documenting, publishing and broadly disseminating information concerning disability.
1 comments:
ASANTE SANA KWA KUANDAA SIKU HII. NATUMAINI KUWA HATA MWAKA 2013 KUTAKUWEPO NA SHUGHURI NYINGI KATIKA KUADHIMISHA SIKU YA WATU WENYE ULEMAVU DUNIANI.
Post a Comment