Thursday, November 8, 2012

YALEO

0 comments

Read More ->>

Thursday, November 1, 2012

YATUSEMEAVYO MAGAZETI YA LEO

0 comments




Read More ->>

Tuesday, October 30, 2012

YATUSEMEAVYO MAGAZETI YA LEO

0 comments
Baada ya kuona maswala yahusuyo watu wenye ulemavu hayapewi uzito unaostaili katika vyombo vingi vya habari, tumeamua kuhabarishana juu ya nukuu  mbalimbali za magazeti ya kila siku.



Read More ->>

Monday, October 29, 2012

SHERIA ZETU NA WALEMAVU

2 comments


THE SUMATRA (TECHNICAL SAFETY AND QUALITY OF SERVICE STANDARD) (PASSENGER VEHICLES) RULES , 2008.

(Safety requirements)
5 – (1) Subject to rule 4, every owner of passenger vehicle who apply to provide passenger services shall ensure that:-
(h) The vehicle is fitted with facilities to assist passengers with disabilities.


SHERIA YA SUMATRA KUHUSU KANUNI NA TARATIBU ZA VYOMBO  KUBEBEA ABIRIA, 2008
(Maelekezo ya kiusalama)
5 – (1) Kwa mujibu wa kanuni ya 4, kila mmiliki wa chombo cha abiria atakayeomba kutoa huduma ya kubeba abiria, atatakiwa kuzingatia yafuatayo:-
(h) Chombo kimewekewa nyezo/ vifaa vya kuwasaidia watu wenye ulemavu mbalimbali.

Swali la kujiuliza ni je sheria hii inazingatiwa ipasavyo?
Chukua taswira ya mabasi yetu ya abiria, kuanzia yale yaendayo mikoani mpaka daladala zetu!
Watanzania tunashindwa wapi katika hili? Nikweli tunahitaji wawekezaji au wafadhili katika hili?
Tafakari kwa kina, tumia busara katika kuchukua hatua! Tanzania ni yetu sote, na kila mtu atimize wajibu wake kwa nafasi yake.
Sheria hii inapatikana katika Wavuti ufatao:
http://www.sumatra.or.tz/
Read More ->>
 

| DISABILITY IN TANZANIA INFORMATION PLATFORM © 2012. All Rights Reserved |Designed by MIRAMBO GROUP | Back To Top |