THE
SUMATRA (TECHNICAL SAFETY AND QUALITY OF SERVICE STANDARD) (PASSENGER VEHICLES)
RULES , 2008.
(Safety
requirements)
5
– (1) Subject to rule 4, every owner of passenger vehicle who apply to provide
passenger services shall ensure that:-
(h)
The vehicle is fitted with facilities to assist passengers with disabilities.
SHERIA YA SUMATRA KUHUSU
KANUNI NA TARATIBU ZA VYOMBO KUBEBEA
ABIRIA, 2008
(Maelekezo
ya kiusalama)
5
– (1) Kwa mujibu wa kanuni ya 4, kila mmiliki wa chombo cha abiria atakayeomba
kutoa huduma ya kubeba abiria, atatakiwa kuzingatia yafuatayo:-
(h)
Chombo kimewekewa nyezo/ vifaa vya kuwasaidia watu wenye ulemavu mbalimbali.
Swali la kujiuliza ni je sheria hii inazingatiwa
ipasavyo?
Chukua
taswira ya mabasi yetu ya abiria, kuanzia yale yaendayo mikoani mpaka daladala
zetu!
Watanzania
tunashindwa wapi katika hili? Nikweli tunahitaji wawekezaji au wafadhili katika
hili?
Tafakari
kwa kina, tumia busara katika kuchukua hatua! Tanzania ni yetu sote, na kila
mtu atimize wajibu wake kwa nafasi yake.
Sheria
hii inapatikana katika Wavuti ufatao:
http://www.sumatra.or.tz/
Read More ->>