Tarehe 3/12/2012 Watu wenye ulemavu kote duniani huadhimisha sikuu yao kimataifa, kwa Tanzania maadhimisho haya yamefanyika mkoani Mara katika manispaa ya Musoma viwanja vya Karume. Mgeni rasmi wa maadimisho hayo alikua Mhe: Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania (Mizengo Pinda) aliye wakilishwa na Mkuu wa mkoa wa Mara Ndugu:
John Gabriel Tupa.
Kauli mbiu ya mwaka huu ni: ONDOSHA VIKWAZO ILI KUJENGA JAMII JUMUISHI NA UFIKIKAJI KWA WOTE.
Read More ->>