Wednesday, December 5, 2012

MAADHIMISHO YA SIKU YA WATU WENYE ULEMAVU DUNIANI: MATUKIO KATIKA PICHA


Tarehe 3/12/2012 Watu wenye ulemavu kote duniani huadhimisha sikuu yao kimataifa, kwa Tanzania maadhimisho haya yamefanyika mkoani Mara katika manispaa ya Musoma viwanja vya Karume. Mgeni rasmi wa maadimisho hayo alikua Mhe: Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania (Mizengo Pinda) aliye wakilishwa na Mkuu wa mkoa wa Mara Ndugu: John Gabriel Tupa.
Kauli mbiu ya mwaka huu ni: ONDOSHA VIKWAZO ILI KUJENGA JAMII JUMUISHI NA UFIKIKAJI KWA WOTE. 














 
Kindly Bookmark this Post using your favorite Bookmarking service:
Technorati Digg This Stumble Stumble Facebook Twitter
YOUR ADSENSE CODE GOES HERE

1 comments:

Anonymous said...

ASANTE SANA KWA KUANDAA SIKU HII. NATUMAINI KUWA HATA MWAKA 2013 KUTAKUWEPO NA SHUGHURI NYINGI KATIKA KUADHIMISHA SIKU YA WATU WENYE ULEMAVU DUNIANI.

Post a Comment

 

| DISABILITY IN TANZANIA INFORMATION PLATFORM © 2012. All Rights Reserved |Designed by MIRAMBO GROUP | Back To Top |