Msanii wa Hip Hop kutoka Mwanza City Fareed
Kubanda a.k.a Fid Q leo kupitia katika akaunti yake facebook aliweza kupost
picha ambayo akiwa na Mr Peter ambaye ni Mwanzishi na Mwenyekiti Mtendaji wa
shirika hilo nchini Canada"Under The Same Sun"ambalo
linahusiana na kutetea haki ya watu wenye ulemavu wa ngozi,albino nchini.
Taasisi hiyo imemtunuku rapper Fareed Kubanda kwa mchango wake mkubwa katika kampeni la shirika hilo.
Huu ndiyo ujumbe kutoka katika akaunti ya Fareed Kubanda baada ya kupokea Cheti hicho kutoka kwa Mr Peter.

0 comments:
Post a Comment