Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya isiyo ya kiserikali
inayoshughulikia masuala ya haki za kisheria ,maendeleo ya jamii na
kiuchumi(DOLASED), Gidion
Mandesi(kulia)
akifafanua Sheria ya Watu Wenye Ulemavu namba 55(1)
ya mwaka 2010 na mtazamo wake juu vyombo vya habari hususani
televisheni vinavyotakiwa kuweka wakalimani kwa ajili ya taarifa ya habari na
matukio mengine ya kitaifa ili viziwi waweze kupata taarifa, kulia ni
mwandishi wa habari wa gazeti la majira , David John.
Picha
kwa hisani ya Social Work Club.
0 comments:
Post a Comment